Categories

Remember

Genre: Drama, Romance,

SKU: DT461 | DVD I | Year - 2010

Maisha yanabadilika wakati wowote… Hali hii inatisha sana kwa maisha yetu ya sasa kwani dunia yetu imegubikwa na shetani mkubwa wa mapenzi…Nina imani hakuna mtu anayependa kuishi maisha mabaya, lakini hali hiyo hutokea kwasababu maisha ndiyo yapo hivyo, hauwezi kupata kumi pasipo kuanza na moja hivyo unapopata kumi unapaswa ukae na “ukumbuke” wapi ulipotoka hadi kuifikia hiyo kumi iliyonayo kwa sasa

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left