SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2011
Siri ya Eliza kwa mumewe Sam inamgharimu nakujikuta ndoa yao inaingia kwenye vikwazo pale mume (Sam) anapotaka haki ya ndoa huku mke (Eliza) kushindwa kufanya hivyo kutokana na maumivu ya kiuno anayoyapata anapofanya tendo la ndoa.., Je? nini hatima ya wanandoa hawa? ... ili kujua fautilia “Restriction of Love”
Casts: Jamilah Juma, Hemed Suleiman, Witness Lunyungu, Suleiman Mkumbi
Story & Script by Suleiman Mkumbi, Directe by Samuel D Muhindi, Produced by Zakia Waziri, Executive Producer Golden Production, Editor & Camera Onesmo Ulomi, Chief Director Mark M Wambura,
Sound Raymond Riziki, Light Jabiri Waziri