SKU: DT461 | DVD I, II | Year -
Ni kweli inauma sana kuona wema wako mwenyewe unakupa ubaya usio utenda. Sarafina ni mjanja sana alishajua wamegundua maovu yake akajua wangemwambia Richard, njia pekee aliyotumia kujinusuru yeye ni kuwagombanisha.
Cast: Halima Rashid; Mark Boniface & Zamda Mweara.
Wananchi Wote Co. Ltd wakishirikiana na Safina Sanaa Group; Mtayarishaji- Mshindo Jumanne; Muongozaji- Mshindo Jumanne, Mhariri- Peter Salehe; Mpiga Picha- Donald Saleh.