SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2013
Upo msemo wa wahenga usemao KUZAA SI KUPATA laiti asingelipata mtoto angeenda kwa waganga kutafuta kizazi, lakini mtoto wake mwenyewe anadiriki kumuingilia kimwili, Ni aibu na laana ya ajabu! fuatilia kisa hiki ujifunze na uelimike kupitia filamu hii ya Soko Ndotoni!
Casts: Fadhili Msisili, Zuhura Juma, Mshindo Jumanne