Categories

Solemba

Genre: Drama, Family,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2011

Sharifa binti mrembo anashindwa kulinda penzi la mumewe Maliki na kujitia tama ya ufahari wa mali za Oscar, Upendo wa dhati unamuumiza sana mumewe kutokana na umaskini wake. Maliki anajikuta anakosa amani moyoni na kuchukua jukumu la kuepuka malimbano kwa kumpa uhuru mkewe. Na hapo ndipo mwanzo wa visa na mikasa katika ndoa ya Sharifa. Fuatilia kisa hikiā€¦

Cast: Single Mtambalike; Rose Ndauka, Haji Adam & Ndumbagwe Misayo.

Director - Single Mtambalike; Camera - William Mnongwa; Editor - Khalfan Mwinshehe; Light & Sound - Sadik Mbelwa Samson

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left