Categories

Sunshine

Genre: Drama,

SKU: DT461 | DVD I | Year - 2014

Rufu ni kijana msomi na mwenye hasira. Hakubaliki kazini kwasababu ya ulevi, madawa ya kulevya na wanawake ambao wamemsababishla matatizo mengi. Akiwa na mlaka 2 2 tu tayari anatumia madawa ya
kupunguza makali ya virusi vya ukimwi na kujiingiza kwenye maisha ya uhalifu mdogo mdogo.

Wakati Mama Eva amezimia na kushauriwa kwamba anahitaji upasuaii wa moyo wakati familla yake ni duni. Rufu anaamua kuliweka jambo hili mikononi mwake mwenyewe. Afanye nini ili apate fedha kwa ajili ya
mahitaji ya familia na kuokoa maisha mama yake.

Rufu is educated and smart but restless and angry. He can’t hold down a job and is easily distracted by drink, dope and women, which have landed him nothing but trouble. At just 22 he’s already on ARVs
and slipping into a lifestyle dominated by petty-crime. When Mama Eva collapses and advised that she needs heart surgery the family cannot afford, Rufu decides to take the matter in his own hands.
How far will he go to secure the cash the family needs to save his mothers life?

Casts: Ben Pol, Christina Mbuda, Gwaii Mwanjabala, Sabrina Muya and Lupyana Kihaka

A SWAHILIWOOD PRODUCTION Presents SUNSHINE; Screen play by Takura Maurayi, and Abdu Simba, Edited by Karabani, Director of Photography Phillip Brown, Executive Producer John Riber, Produced by Karabani, Directed by Karabani

Manufactured & distributed In Tanzania by Proin Promotions Ltd. 32 Ursino St, Regent Estate, Dar es Salaam, Tanzania, info@proinpromotions.com +255-222-77-55-67 or +255-789-249-577

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy