SKU: DT461 | DVD I, II | Year -
Katika Video Hii Dk. Wilbroad Slaa, anaeleza kwa kina namna ya kujenga Tanzania mpya ambayo kila Mtanzania atapata fursa ya kunufaika na utajiri wa nchi. Utajiri na rasilimali nyingi tulizo nazo kama vile:
Madini, Maziwa, Mito, Milima, MBuga za Wanyama, Ardhi na Misitu Mikubwa. Tanzania isiyokuwa na Ufisadi, inayowajali wazee, inayotoa huduma za afya na elimu bure.