SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2009
Maisha ya Binti mpweke, aliyepambana na mateso ya maisha toka utotoni, na alipokuwa msichana mkubwa kwa shinikizo la familia akaolewa na kijana tajiri, alifikiri ni bahati njema, kumbe furaha na amani ikakosekana katika maisha halisi ya ndoa
Cast: Issa Mussa (Claude), Mahsen Awadh (Dr. Chain), Aunty Ezekiel, Blandina Chagula (Johari)
Director: Vincent Kigosi, Producer Hartman Mbilinyi