SKU: DT461 | DVD I | Year -
Kijana aliyempenda mungu na kujituma kwenye biashara anajikuta akiingizwa kwenye vishawishi vya dawa za kulevya. Anapotahamaki anajikuta ameachwa njia panda bila msaada…
Cast: : King Majuto; Asha Boko; Onyango; Mwita; Masele, Masai; Gondo; Kombo & Bi Rehema