Categories

The Best Friend

Genre: Drama,

SKU: DT461 | DVD I | Year -

Hii ni mfululizo wa filamu zinazohusu maisha na muziki. Banana Zorro anaingia katika bifu na rafiki zake wawili D Knob na Jay Moe katika namna ambayo inaleta matatizo na wasiwasi mkubwa kwa ndugu na marafiki zao. Ni bifu za mapenzi na mambo ya ujana vitavyokuacha hoi huku ukibahatika kukutana na muziki wa nyimbo za bongo fleva. Nini mwisho wa ugomvi wa Banana na rafiki zake, mwisho wa mgogoro wa nyumbani baina yam zee Gurumo na mwanae.

Cast: Banana Zorro; Juma Mchopanga; Jaffary Alli; Mariam Mndeme; Helen Luanda; Iddi Salim; Witness Manwingi; Muhidin Ngurumo; Hadija Yarek; Killy Janga; Godfrey kilunga; Hussein Ramadhan & Haji Aziz.

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy