SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2012
Cheo ni dhamana ya kulinda na kutetea maslahi ya jamii. Pia cheo humfanya mtu kuwa na hadhi na kuheshimika ndani ya jamii. Cheo kikitumika vibaya huleta chuki na ugomvi ndani ya jamii. Je, Balozi Kambi anazingatia misingi na taratibu za cheo? fuatilia kisa hiki
Casts: Halima Ally, Hashi Kambi, Jacquiline Wolper
Camera Abdul Wakil A. Kisube, sound D-Lat, Lights Khalid Omar, Story Ibrahim J. Ngawa, Producer Naim Mabrouk, Writer Ussi Haji, make-up, Jaji Khamis, filmed by Al-Fahad, Director Ibrahim J. Ngawa