Categories

The Impact

Genre: Action, Drama,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2011

Usidhani kuwa ulifanyalo wewe ndiyo lipo sawa, katika maisha ya kawaida ya mwanadamu hauwezi kuishi pasipo kufanya kosa. ukiangalia kwa jicho la tatu utagundua mengi sana yanaendelea kutendeka. unaweza kufanya mema mengi lakini anayekuona asione wema wako bali anaweza kuwa wa kwanza kukunyooshea kidole kidole pindi unapokosea au kufanya jambo baya. Usiombee ikutokee wewe kama ilivyokuwa ndani ya filamu hii ya The impact.

Cast: Latifa Idabu; Jacqueline Wolper & Flora Mvungi.

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left