SKU: DT461 | DVD I, II | Year -
Kiza cha hofu kilichoigubika ardhi ya kilindoni kiliwafanya wana Kilindoni kuishi kama wapofu, kula kwa mashaka na kutembea kwa kupapasa. Japo waneni hunena tatizo gumu hutatuliwa na wanakijiji wenyewe, wao iliwalazimu kutafuta masaada. Ilikuwaje? Fuatilia kisa hiki
Casts: Fadili Misisiri, Mohammed Ngogota, Zaibina Hassan, Mussa Ngalemwa & Noela Paul,
Camera Juma Selemani, Story/Script/Director Mohammed Ngogota, Sound/Effect Amani Magessa, Executive Producer Fataki La Wiki