SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2011
Msichana Tea (Ndumbagwe Misayo) Anajikuta katika wakati mgumu wa kumfananisha Bosi wake na Marehemu Mchumba wake na kuamini ndiye. kama ulimshuhudia akizikwa basi siyeye. Ningumu kuamini,lakini huo ndio ukweli.
Casts: Single Mtambalike, Jacob Steven, Mohammed Mwikongi, Riyama Ally, Ndumbangwe Misayo, Hidaya Njaidi
Cameraman Willie Mnongwa, Cast Samson Kiduko, Edited by Hamis Kassim, Sound George & James Music, Motion Graphics Kaza Buti Productions and Landline Production Co. Ltd. Executive Producer Sekaboyi Entertainment, Directed by Jacob Steven