Categories

The Romantic

Genre: Drama, Romance,

SKU: DT461 | DVD I | Year - 2010

Unafika wakati unaweza kutamani ardhi ichimbike ili uweze kujifukia humo kwa kuondokana na matatizo mengi yanayozingira akili yako, lakini unafika wakati unaweza kuishi katika sayari hii na kuhisi kuwa
hakuna kifo. Yote hayo yanatokana na mambo mengi yanayoendelea kutokea katika maisha… Sidhani kama kuna mtu atakayenibishia kuwa “mapenzi” ndiyo aliyochukua katika kubwa katika misha ya mwanadamu.. hilo lipo wapi na ndiyo maan . Night flower production ltd. inakuandalia filimu hii “The Romantic” ili uone mapenzi yanavyoweza kujenga au kubomoa maisha…

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left