Categories

The Stranger

Genre: Action, Drama, Romance,

SKU: DT461 | DVD I | Year - 2009

Kila kitu kina sababu, kukua na kupanuka kwa biashara ya James Mumba “Jocob Stephen” kulimzidishia marafiki na maadui. Wakati mwingine tukiwapa nafasi ya pili wapenzi wetu wanakuwa bora kuliko mwanzo na uaminifu huzidi. Msamaha na uvumilivu ni nguzo muhimu katika maisha ya ndoa.“Maisha ni kuishi na kujifunza”

Casts: Single Mtambalike, Halima Yahaya, Jacob Stephen

Mtayarishaji- Faraji Mohamed; Muongozaji- Hadji Adam; Andrew Simon; Mhariri- Hassan Mbangwa.

Wananchi Video Production wakishirikiana na Jerusalem Film Company “The Stranger” Mtayarishaji Faraja Mohamed, Muongozaji Hadji Adam, Mpiga picha Andrew Simon, Mhariri Hassan Mbangwa

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left