SKU: DT461 | DVD I, II | Year -
The Student!, Shida binti Msisiri amerudi likizo kutoka mjini alikokuwa akisoma na kuingia katika mausiano ya kimapenzi na Yuzo, kijana mkata mkaa na kuamua kukataa kurudi shule jambo linalomchukiza baba yake, na kuzua mgogoro mkubwa wa familia mbili ya Msisiri na kijana Yuzo