SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2010
Ukiwa ni Story yenye kuhudhunisha ndani ya ukiwa tunamuona Mbwana kwa jina la 112. Akisambaratisha familia yako kutoka na nguvu za giza kutoka kwa mama yake .
Mtoto na me wanapata wakati mgumu na hadi kufariki dunia mwisho huyu Mbwana anabakia akiwa mpweke hana mke na watoto anakuwa mpweke yaani”UKIWA” JAMBO USILOLIJUA SAWA SAWA NA USIKU WA GIZA