Categories

Vagabond

Genre: Action, Adventure,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2013

Kila unayemuona ana tabia Fulani mbaya, basi ujue ni zao la makosa ya wengine…Mara nyingi watu hao huwa hawana hatia kabisa… Na huwezi kuhukumu kwa kutazama tu mpaka uupate ukweli halisi wa tabia ya mtu; Kijana Noah ambaye anaishi akijulikana kuwa kibaka maarufu [vagabond], anakuwa chanzo ya kutanzua fumbo zito la usaliti

Casts: Blandina Chagula, Wellu Sengo, Ahmed Olotu, Hemedi Suleiman, Hidaya Njaidi, Novatus Mayenja, Helen Ngalaba, Elizabeth Swinney, Noal Mwakalonge, Ally Yakuti, Isak Kaliando, Yusuph Jackson, Abdallah Rashid, Sadar Rashid, Mrisho Zimbwe, Shemsa Mansoor, Mbaraka Issa Badili, Amina Salim

Camera/ Editor/Graphics - YUSUPH KISSOKY producer MUSA V. MZIBA, script/story - ALLY M. YAKUTI, executive producer SEAN RUMERS / MICHELLE RUMERS, director - ALLY M. YAKUTI, production SOFIA PRODUCTION

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left