Categories

Vivian

Genre: Drama, Romance,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2011

Vivian ni msichana mrembo aliyeishi na wazazi wake waliompenda. kwa bahati mbaya siku moja wakiwa safarini kurudi mjini wakitokea kijijini gari yao ilipata ajali mbaya wazazi wa Vivian wakafariki papo hapo! Vivian akanusurika lakini bahati mbaya akakatika mikono yote na kuishi mlemavu., wazazi wake walimwachia mali nyingi, baba yake mdogo toka kijijini alikuja kuishi nae lakini matokeo yake alimnyanyasa na kumfukuza kwenye nyumba ya marehemu wazazi wake na baadae huyo mzee ambaye in baba yake mdogo aliyetambulika kwa jina la Richmond alitangaza mirathi ya kurithu mali, Vivian alipinga lakini mahakama ilimnyima Vivian haki ya kurithi na kumpatia baba yake mdogo kwa njia za rushwa.

Cast: Wastara & Sajuki

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left