SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2009
Kila jambo lina wakati na majira yake. Vanesa anaangukia kwenye mapenzi ya kijana mwenzake Samuel wakati Baba yake hakubali kuona mtoto wake akichanganya mapenzi na masomo
Casts: Steven Sadhu, Regina Joseph, Jacob Stephen