SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2011
Wanaume Wanajua Wanachokifanya kwa Sababu ingekuwa rahisi, ingekuwa rahisi kusema mimba ni yakwako anapata kila kitu , lakini anaujua ukweli na kushindikana kuuficha, kumbuka kitanda hakizai haramu, yule ni mume na wewe ni mwizi tu….
Cast: Vincent Kigosi, Otilia Joseph
Filmed by RJ Company, Camera Farid Uwezo, Story by Vincent Kigosi, Sound by Said Baragash, Continuity by Saguda George, Light by Steve Shoo, Final editing by Vicent Kigosi