SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2009
Msichana aliyebahatika kuchumbiwa kijijini analaghaiwa na mhuni wa mjini hadi kukubali kumdhuru mtarajiwa wake ili watoroke. Lakini mshahara wa dhambi ni mauti; tazama mwenyewe uone kizaazaa cha milenia kilichowakuta…
Director Bakari Kazembe, Story by Juma Selemani, Editor Rashid Msisiri, Camera Mudhihiri Omary