SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2013
Tamaa ya maisha yaweza sababisha chuki na wivu katika maisha yetu ya kila siku na wivu wenyewe utoke pale mtu anapoona mwenzie yupo katika hali ya faraja, Fuatilia kisa hiki ndani ya filamu hii.
Casts: Jackline Pentezel, Queen Dareen, Abdalah Dosho
A Bau Films Presents “Wivu”