Categories

World of BENEFIT

Genre: Drama,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2014

World of BENEFIT   - Pilipili Engertanment Presents
Nimemaliza masomo yangu ya chuo nikiwa na shahada yangu mkononi lakini sijui pa kuelekea.  Nakutana na mwanamke anayenionyesha njia, lakini njia ina kona nyingi.  Sina budi kuipita ili nitimize ndoto zangu za mafanikio.  Njia hii ina jina zuri na lenye kuvutia nisipokuwa makini naweza tumbukia kwenye shimo lenye mamba wengi…..WORDL OF BENEFIT

Casts: Rose Ndauka, Hemed Suleiman, Ali Timbulo, Ahmed Ulotu, Awadh Saleh
Story: Hamees Suba - Producer, Hamees Suba Camera – Alay
Script – Selemani Mkangala – Director, Seles Mapunda, Seleman Mkangala – Executive producer – Mcdenis Mgatha

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left