Home » News and Events
Apr
2013
Bi Kidude Is Dead
The little 'Little Granny' of Zanzibar, renowned for popularising taarab, the Arab-Swahili music form, passed away on April 17. She was a cultural icon for all East African from the island of Zanzibar.
Read MoreFeb
2013
Wema Sepetu afungua ofisi mpya ya uandaaji movie iitwayo “Endless Fame Films”
Baada ya kufanya vizuri katika tansia ya filamu hatimaye mwigizaji Wema Sepetu amefungua ofisi mpya jijini Dar-es-Salaam
Read MoreJan
2013
Sadick Juma Kilowoko a.k.a Sajuki Afariki Dunia
Star wa filamu za Kibongo, Juma Kilowoko ‘Sajuki’ amefariki dunia leo alfajiri katika hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu. Kwa mujibu wa Katibu wa chama cha waongoza Filamu Wilaya ya Ilala, Rajabu Amiri ni kwamba hivi karibuni Sajuki alikuwa anasumbuliwa…
Read MoreDec
2012
Bi Kidude Atunukiwa Nishani na Rais Kikwete katika sherehe za Uhuru
Katika kuadhimisha miaka 51 ya uhuru wa Tanzania jana Rais Jakaya Kikwete amemtunuku Nishani ya Sanaa na Michezo muimbaji mkongwe wa muziki wa Taarab nchini, Bibi Fatma Binti Baraka Khamis
(Bi. Kidude) kwa mchango wa kipekee kwa taifa la Tanzania katika nyanja ya sanaa.
Dec
2012
Tamthilia ya Siri ya Mtungi Yazinduliwa Jijini Dar Es Salaam
Mchanganyiko mzuri wa wahusika wa Siri ya Mtungi, waliohusiana kwa damu au ndoa, au kwa mapenzi tu, unaunda jamii inayohamasishwa na penzi, lililoletwa na woga, ushirikina na usaliti, ikinyanyuliwa na ucheshi na furaha, na kupewa nguvu ya mshikamano wa ndani wa familia na urafiki.
Read MoreNov
2012
Sharo Millionaire a.k.a Hussein Mkiety Afariki Dunia mjini Tanga
Msanii wa muziki na filamu za vichekesho Hussein Ramadhani Mkieti a.k,a SHARO MILLIONAIRE - Amefariki usiku wa tarehe 26 kwa ajali ya gari iliyotokea alipokuwa akielekea Tanga nyumbani Kwao.
Read MoreNov
2012
Msanii wa Bongo Movie John Stephan .a.k.a Big John afariki Dunia
Msanii wa Bongo Movie John Stephan .a.k.a Big John afariki dunia ghafla katika hospitali ya Muhimbili akiwa anasumbuliwa ana matatizo ya tumbo ambayo amekuwa akisumbuliwa kwa kipindi sasa
Read MoreNov
2012
The Uganda Nile’s Diaspora International Film Festival Official Film Selections for 2012
The Uganda Nile’s Diaspora International Film Festival Announces the Official Film Selections for 2012 – The Sheraton Kampala.
Read MoreNov
2012
Africa: Film Africa 2012 Arrives in London
London — For 10 days at the start of November, London will be treated to 70 African films as well as music nights, workshops and Q&As with leading directors. In these difficult economic times, when governments across Europe are withdrawing public funding from cultural events and…
Read MoreOct
2012
Mwigiza wa filamu Bongo za kibongo, Jacqueline Wolper ashinda
Msanii wa chimbo la filamu Bongo, Jacqueline Wolper Masawe, usiku wa kuamkia leo ameibuka kidedea kwenye shindano lililokuwa likiwashirikisha mastaa wa kike Bongo la Ijumaa Sexiest Girl ndani ya Ukumbi wa Dar Live Mbagala jijini Dar es Salaam.
Read More