Home » Highlights » Album ya Rose Muhando Chini ya Sony Music Out Soon


Album ya Rose Muhando Chini ya Sony Music Out Soon

Posted: 21 Aug, 2012

Kampuni ya Sony Music Group kupitia label iliyo chini yake ya ROCKSTAR4000 imesema albam mpya ya Rose Muhando ipo kwenye utayarishaji wa mwisho mwisho ili iweze kutoka.

Album ya Rose Muhando Chini ya Sony Music Out Soon

Kampuni ya Sony Music Group kupitia label iliyo chini yake ya ROCKSTAR4000 imesema albam mpya ya Rose Muhando ipo kwenye utayarishaji wa mwisho mwisho ili iweze kutoka.

“In studio finishing album & music videos of 1 of Africa’s biggest selling artists, Rose Muhando. Asante Sana! @SevenMos @SonyMusicAfrica,” ROCKSTAR4000 imeandika kupitiwa Twitter jumapili hii.

Hata hivyo haijasema albam hiyo inafanyika wapi japo wasanii wengi wa Sony Music Africa hurekodi nyimbo zao nchini Afrika Kusini.

Mwaka jana Rose Muhando alisaini mkataba wa kihistoria wa kurekodi albam tano na Sony Music Entertainment chini ya uongozi wa ROCKSTAR4000.

Source:

https://baabkubwamagazine.com/

Reviews / Comments

 
 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More