Home » Highlights » Msanii wa Bongo Movie John Stephan .a.k.a Big John afariki Dunia
Msanii wa Bongo Movie John Stephan .a.k.a Big John afariki Dunia
Posted: 25 Nov, 2012Msanii wa Bongo Movie John Stephan .a.k.a Big John afariki dunia ghafla katika hospitali ya Muhimbili akiwa anasumbuliwa ana matatizo ya tumbo ambayo amekuwa akisumbuliwa kwa kipindi sasa
Ikiwa ni baada ya tasnia ya filamu ya bongo(bongo movie) kuondokewa na msanii Mlopa sasa leo hii imetokea pigo jingine kwa kuondokewa na msanii John Stephan Maganga a.k.a BIG JOHN,ambaye kacheza movie ya Mrembo Kikojozi na Aunt Ezekiel na film iitwayo Baamed.iliyowashirikisha Nice na Irene Uwoya,
msanii huyo kafariki katika hospital ya muhimbili wakati akiwa katika chumba cha upasuaji,mungu ailaze mahali pema peponi