Home » Highlights » Ziff Awards 2011 - 2012

Ziff Awards 2011 - 2012

Posted: 25 Jan, 2012

Ziff Awards 2011 - 2012

Ziff Awards 2011 - 2012, The Event in Pictures

Akipokea tuzo yake ya Best actor kutoka kwa Mr.Danny wa ZIFF

Issa Musa(Cloud)akichukua tuzo ya BEST DIRECTOR

JB alichukua tuzo ya filamu bora(Senior bachelor)

Hiyo ilikuwa ni tuzo ya msanii bora chipukizi…

Kanumba Kwa niaba ya Ray ambaye hakuepo ukumbini alimchukulia tuzo yake ya THE MOST INFLUENTIAL ICON.

Kambarage akipokea tuzo ya Steps Entertainment co Ltd kama kampuni bora ya usambazaji wa movie.

The great akipokea tuzo ingine ya BEST FILM IN SOUND (DEVIL KINGDOM) hii ni ile aliyocheza na swahiba wake Ramsey toka Nigeria,

Picha ya pamoja ya washindi wote wa tuzo waliokuepo jana maisha club……

Big boss Mr.Dilesh wa Steps entertainment akiteta jambo na Richie Richie…

Pilipili Entertainment nao walikuepo…
Pilipili Entertainment nao walikuepo…

Odama na Maya
Odama na Maya

Irene Uwoya na Mzee Magari
Irene Uwoya na Mzee Magari

Ritchie, Monalisa, na mama Natasha
Ritchie, Monalisa, na mama Natasha

Tino,Dinno,Mzee Chilo,Baby Madaha walikuepo…

Interview ya Cloud mara baada ya tuzo nae kama kawa alilia na bodi ya filamu….

Irene Uwoya katika interview lakini pia nae hapo akishangaa hizi sheria za bodi ya filamu,,,,

JB akihojiwa hapo ktk red carpet.,Pia akilia sana na bodi ya filamu juu ya mambo wanayotaka yafanyike ktk tasnia.

Mara baada ya tuzo Kanumba alikuwa na haya ya kusema ”Hata tukiwa na uwezo wa kuhamisha milima kama hatupendani ktk tasnia ni kazi bure.

Source:

https://kanumbathegreat.blogspot.com

Reviews / Comments

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More