Kijana lukei baada ya kutotimiza masharti ya mganga, mizimu inakasirikana kupelekea mateso kwa mwanae Riziki. Mateso gani hayo ? Fuatilia kisa hiki. Hizi ni mila na desturi za kwetu nanyi pia mna mila na desturi za kwenu, lakini angalia mila nyingine zinavyowatesa watu wasiokuwa na hatia.
Casts: Grace Mapunda, Sabrina Omary, Diana Kimaro
Story Peter Mbwambo, Producer Mwajuma Mndaira, Script Peter Mbwambo, Director Peter Mbwambo, Camera Rasheed Ngayama, Sound Rajabu Ngayama, Executive Producer Slash Entertainment
No Reviews at the Moment
Submit Reviews
Email will NOT be shown publicly | |
![]() |
|