Usilolijua ni sawa na usiku wa giza na wahenga walisema fikiri kabla ya kutenda, hicho ndicho kinachoikumba familia ya mzee msisili inapopata tatizo na kujikuta njia panda
Casts: Fadhili Msisili, Zuhura Kilo, Tatu Mnali, Mohamed Fungafunga
CCP ENTERTAINMENT presents A KAZEMBE FILM “NJIA PANDA” script and story Sospeter Cyprian, Camera Juma Selemani, Director Bakari Kazembe, Producer Kazembe Production, Designer Gorilla Media Tanzania
No Reviews at the Moment
Submit Reviews
Email will NOT be shown publicly | |
![]() |
|