Categories

Amen Gospel Collection Vol.2

Genre: Audio CD / VCD / DVD,

SKU: DT461 | DVD I | Year - 2012

Amen Gospel Collection Vol.2 (DVD)
Wakati Ameni Vol.2 ikiwa inaendelea kuwafikia watu wengi, Haapytime Productions tuna mshukuru Mungu yeye aliye anzisha Kazi hii kwa Kutupa Kibari tena cha kutoa Album hii Ameni vol2. Lengo letu ni kumtukuza Mungu wetu katika Kristo Yesu, Kupitia nyimbo hizi tunaamini utaburudika na pia utajiweka karibu zaidi na Mungu, imba nasi, cheza nasi na sifa na utukufu zielekezwe kwake yeye Jehovah-Mungu wa kweli…Katika Kristo Yesu Ubarikiwe…AMENI.

1. Hakuna Kama Yesu-Christina Shusho
2. I Surrender-Kitenzogu Makassy
3. Lango Ni Yesu-Jane Misso
4. Matendo Mema-Rafiki Gospel Singers
5. Nitakase Baba-Rafiki Gospel Singers
6. Mimi Siyawezi-Abeddy Ngosso
7. Bwana Ndiye Mchungaji-Solomon Mkubwa
8. Baba Nakushukuru-Joshua Mburu
9. Naongozwa Na Roho-Martin Bashando

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy