SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2012
Baada ya kutelekezwa na mama yake getini mwa nyumba ya vijana watatu-ROME, EVANS na ENOCK, Angel analelewa nao…kila mmoja wao anahisi huenda Angel ni Bintiyake…kwa pamoja wanapima D.N.A. Baada ya muda mama anajitokeza kudai mtoto wake… Je, nini kitatokea?
Casts: SLIM OMAR, YUSUPH MLELA, HEMEDY SULEIMAN
editor FARID UWEZO story LEAH RICHARD producer YUSUPH MLELA script LAMATA ENTERTAINMENT graphics FRANK & FRANCIS MTEVI sound/light MANDELA J. ONGATI director LAMATA ENTERTAINMENT