SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2013
Mola ni muweza wa vyote, ana maana yake kutuletea ulimwengu na kutupa masarti yake. Hivyo hekima na busara zinahitajika katika kumpendeza yale atakayo. Annie Maria muache Mungu afanye yake…
Cast: Luckey Luckamo, Zubery Mohamed, Slim Omary, Faudhia Abdallah, Neema Ndepanya, Nusrath Mbegu, John Akwilini, Manaiki Sanga, Ally Sheria, Chrisstone
Story: Farasi Entertainment, Script: Faudhia Abdillah, Ex. Producer: Farasi Entertainment, Producer: Faudhia Abdillah, Cameraman: Rashid Ngayama (Pete), Lights: Kitime & Mbeki, Film Editor: Rashid Ngayama (Pete), Director: Rashid Ngayama (Pete).