SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2009
Nina uhakika hakuna asiyefahamu kuwa mapenzi yamechukua nafasi kubwa katika maisha ya mwanadamu, lakini sidhani kama wengi wetu tunafahamu ia kuwa kuna kifo vingi vinavyotokana na mapenzi… najua itakuwa ngumu kuelewa kwa haraka juu ya ninachojaribu kuzungumza lakini nitaeleweka ndani ya filamu hii iliyotawaliwa na vicheko, majonzi, mapenzi, huzuni, vilo na mafunzo mengi….
Story - Haji Adam, Director - Haji Adam, Cameraman - Faridi Wezi, Producer - Tanga Line Cinema, Editor - Farisi Wedi