Categories

Bad Saturday

Genre: Drama, Spiritual,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2011

Katika Dunia ni kwamba sio kila kinachouzwa ukajua ni kizuri kwako. Nini kilitokea baada ya jini Celina kuzama katika mapenzi ya kijana babi wakati Babi yupo na mpenzi wake Hudy. Na nini kilimkuta babi baada ya kukubali kuishi na Celina ambae ni jini ingawa kwa masharti makubwa, fuatilia mkasa huu na ujue ni nini hatima ya Babi…

Casts: Edson F. Suche, Farada Sabu, Emmanuel Myamba, Zainab Juma, Paulyn David

Story Edison E. Suche, Script Fransic Stephano, Producer by Edson & Fransic Editor & Graphics Edson E. Suche, Director Adam Waziri, JBP Entertainment

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy