SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2013
Mr. Makuka ni mzee ambaye alikuwa anaipenda sana familia yake. Ilimpelekea kufanya maagano ya kishetani ili kuisaidia familia yake. Je, atafanikiwa katika hilo? Fuatilia filamu hii..
Casts: Mohamed Fungafunga, Diana Kimaro, Bakari Makuka, Haji Salum
Story Bakari Makuka, Producer Bakari Makuka, Camera Zakayo Magulu, Script Thomas Mshana, Director Zakayo Magulu, Executive Producer Bakari Makuka