SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2011
Furaha ya jimmy (JAMES TEMU) inafikia ukingoni baada ya mchumba wake mtarajiwa kuamua kuolewa na Mike (MOHAMEDI MWINKONGI). Je nini kilimpata jimmy na jasmine (LATIFA IDABU) na mike walifanikiwa kufunga ndoa hiyo