SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2012
Mapenzi ni kama maua huchanua na wakati mwingine kunyauka ndiyo ilivyokuwa ktika familia ya bwana chaurembo, Tatizo kubwa linawakumba watoto katika vuta nikuvute hii, ni mkasa unaoumiza nafsi..
Cast: Irene James, Haji Adam, Tabia Bamwanya, Sabia Aziz, Moby Mpambala
Produced by Pangani River Cinema & Steps, Directed by Baba Haji, Story by Haji Adam, Cameraman Farid Uwezo, Lights Steve Shoo