SKU: DT461 | DVD I, II | Year -
Busu mara zote ni tendo lenye kuleta faraja na amani moyoni, ila lipo busu liletalo karaha na adha maishani.Hapo ndipo Busu huwa na Radha tofauti…Fuatilia mkasa huu…..
Casts: Vanitha Omary, Magreth Joseph, Lumplwe Matovolwa
Cut 2 cut entertaiment executve producer aulynus .R Mtendah Story :Dominick Saramba script and directing: Paulynus .R.Mtendah