Categories

Chocolate

Genre: Drama,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2012

Inawezekana ikafika wakati ule msemo wa atafutaye juani hulia kivulini huweza kuleta maana na kuhisi kuwa ni kweli kabisa, kwani katika maisha kuna kupanda na kushukana ndiyo maana binadamu tumekuwa tukihangaika kila kukicha kutafuta kile tunachoamini tukikipata kitakidhi mahitaji ya maisha. Lakini maisha halisi hayapo hivyo… hii injidhihirisha ndani ya filamu hii ya Chocolate…

Cast: Jacqueline Wolper; Yusuph Mlela & Jennifer Kyaka (Odama)

Steps present a Jennifer Kyaka Film…

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy