Categories

Copy

Genre: Drama,

SKU: DT461 | DVD I | Year -

katika filamu hii kuna mkusanyiko wa wasanii mahiri nchini kama Janet (Elizabeth Chijumba) anayeachana na mchumba wake Enock (Single Mtambalike) baada ya kumfumania zaidi ya mara nne. Enock ni mtoto wa rafiki wa baba yake (Jacob Steven).

Baadaye Janet anakuwa na uhuslano wa kimapenzi na mwanamuziki wa Bongo Fleva altwaye Kevin (Khalfan Ahmed). Laklni. baba yake hamtaki Kevin na ndipo balaa na mvutano unapoanza.

Baba wa Jenet katika kutafuta namna ya kuwatenganisha, anaibuka Janet mwlngine wa kimiujiza. Janet huyo ambaye ni COPY, anasababisha | kizaazaa na majonzi kwa watu wanaompenda.

Casts: Elizabeth Chijuba, Khalfan Ahmed, Jacob Steven, Eddy Shariff, Ahmed Alotu, Single Mtambalike

Producer Eddy Shariff, Editor Rashid Marutu, Cameraman Rashid Mrutu, Director Khalphan Ahmed “Kevin”, Asst. Director Eddy Shariff Executive Producers KAPICO TANZANIA

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy