Categories

Crush

Genre: Comedy, Drama, Romance,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2013

Maisha ya chuo ni yenye kusisimua na yana changamoto nyingi ndani yake, hasa kwa binti wa Kitanzania. Kuwa na msimamo thabiti ni muhimu katika kutimiza malengo.  Je, msimamo peke yake unaweza kutosha kufikia malengo?

Casts: Ahmed Olotu, Mbaraka Mtitu, Remmy Amywili

Story Issa Mbura, Producer Zainab Kihiyo, Camera Ochieng Gad Ogweno, Script Issa Mbura, Director Issa Mbura, Editor Walter Kimaro, Executive Producer Saseni Media, Sound Florance Ndibalema

Aina ya filamu: Vichekesho na Mapenzi

Mwandishi, Mtayarishaji na Muongozaji: Issa Mbura

Mtayarishaji Msaidizi: Zainab Kihiyo

Mpiga Picha: Ochieng Gad Ogweno

Muongozaji wa Upigaji Picha: Issa Mbura

Mhariri: Walter Kimaro

Wahusika wakuu: Remmy Maywili, Mbaraka Matitu, Sayuni Mero, Ahmed Olotu (Mr. Chilo).

Wahusika wengine: Susanne Mbise, Richard Mshanga (Masinde), Yustina Silo, Phillip Mathew, Josephine Christopher Gwamaka Lucas and many other fresh talents on screen

Kampuni: SaseniMedia, with the support from School of Journalism and Mass Communication, and Department of Fine and Performing Arts, UDSM.

Wasambazaji: Pili Pili Entertainment

Hadithi kwa ufupi
Natujwa, ni mwenye kuishi ndani ya falsafa kwamba unapokuwa chuo, elimu kwanza, mahusiano ni jambo linalofwata baadae. Anasahau kwamba mazingira aliyopo na watu wanaomzunguka chuoni atahitaji zaidi ya falsafa kuepukana na swala la mahusiano, atahitaji fikra mbadala. Filamu hii, ikiwa imejikita katika chuo kikuu cha Dar es Salaam na inaangazia maisha ya wanafunzi wa vyuo na changamoto wanazokabiliana nazo kila leo hasa katika kumudu masomo na kufikia malengo yao.

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy