SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2009
Ulaghai wa dhuruma, chuki na visa vinamuweka kijana Chriss katika wakati mgumu pale anapompoteza mkewe kipenzi kwa kufungwa jela kama muuaji.
Je, muuaji ni nani? Fuatilia kisa hiki cha kusisimua….
Cast: Vicent Kigosi - Ray; Hisani Muya - Tino; Irene Uwoya
Director: Shariff Jumbe; Story: Hissan Muya; Camera: Ibrahim Matuki; Editor: Junior Syaary