SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2012
Kijana Solomon Ametokea kumpenda msichana mrembo Nyabo ambaye amekulia kwenye familia yenye maadili ya kidini lakini penzi lao linaingia katika kipindi kigume kutokana na familia kuingilia
Cast: Nurdin Mohamed, Charles Magali, Sabrina Omary, Hashim Kambi, Grace Mapunda, Nustrat Semtawa