SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2010
Ni Vigumu kuukubali ukweli ingawa unaumiza; lakini huo ndio ukweli; kwani utuuzima ndio rutuba ya maradhi, na hakuna mtu anayependa kuacha shughuli zake kuhudumia wagonjwa ila tunalazimika kwa kuwa ng’ombe aelemewi na uzito wa nundu yake
Cast: Vicent Kigosi, Elizabeth Gupta, Hemedi Suleiman, Aunt Ezekiel, Mahsein Awadh, Blandina Chagula
Filmed by GRM Production, Story by Oscar Moshi, Written by Ally Yakuti, Camera by Faridi Uwezo, Sound & Light by Steven Shoo, Edited by Vincent Kigosi, Make Up & Continuity by Ruth Suka, Produced by RJ Company, Executive Producer: Chikoka Production, Directed by Vicent Kigosi