SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2012
Awe mchamungu au mwenda waimu wote ni abiria wangu. Hawakukosea waliosema hivyo, majanga tunayokutana nayo Mungu ndiye ajuae. Hata hivyo hii ndio kazi niiyoichagua Taxi Driver, kila shari ina heri yake
Cast: Jacob Stephen, Jacquiline Wolper
Camera & Editor Rashid Chidy, Story by Daniel Manege, Producer Jerusalem Film Company, Executive Producer Queen Irene, Make-up Vivian Minja, Director Jacob Stephen, Production Manager Said Mbuli
hii picha nzuri sana inaelimisha na kuburudisha pia
Betha | June Fri, 2012 | Rating: