SKU: DT461 | DVD I | Year - 2012
Diamond are Forever - Mlimani City Concert DVD
Hii ni Show ambayo haijawahi tokea kwenye tasnia ya muziki wa hapa bongo! Ni Show ambayo ilijaa burudani na vimbwanga hasa pale Wema alipi kwenda kumtunza Diamond na kisha Diamond kuikataa hile tuzo hadharani. Shuudia Wema akipagawa na hao hapo Joketi akinuna. Hapa utaipata kuona na kufurahia vimbwanga vya Wema na Joketi na Shamra Shamra kibao za mastaa wa Bongo Produced and Manufacture by PAPA-ZI & Enteratinment Promoters, Dar-es-Salaam, Widescreen 16 x 9, 2:40:1