SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2011
Nisingependa nirudie makosa niliyofanya huko nyuma…, sipendi na wala sitaki kuwa na mume wa mtu tena. Ben kama unampenda mkeo, ndoa yako na familia tafadhali kaa mbali na mimi kwani apatae mke hakika amepata kitu chema….
Cast: Wema Sepetu, Jacob Stephen, Irene Uwoya
Story: Jacob Stephen, Camera & Editor - Rashid Chidy, Producer - Jerusalem Film Company, Executive Producer - Queen Irene, Make-up Bonita Saloon, Director Jacob Stephen, Production Manager Said Ally