Categories

Domokaya

Genre: Comedy,

SKU: DT461 | DVD I | Year -

Mara nyingi baadhi ya watu hufurahia sana starehe. Starehe ikipitiliza huitwa starahamu, Muogo Mchungu anastarahamu na mtoto wa Kingwendu, mtoto huyo ni mwanafunzi. Akiwa katika starehamu hiyo kumbe mkono ameuona upuuzi huo wa muhogo. Katika kufuatlikia kwake, anamueleza baba wa mtoto Kingwendu anakasirika na kumgombeza mwanae. Hatimaye anaamua kumuozesha ndoa ya lazima …je Muogo atakubali?

Cast: Rashid Mwinshehe (Kingwendu), Ayubu Hamis (Malukuba), Scola William (Scola), Sada Mrisho (Mama Scola),  Coleta Mkemangwa (Coleta), Fadhili Maridadi (Defender), Abdallah Makumbila (Muhogo Mchungu), Sobogani Zabron (Erick), Siguna,

Director- Rajab Abdallah

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy